NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA MLIPA KODI YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA MLIPA KODI YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Meneja Huduma kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Allan Joseph Kiula, akipata maelezo kuhusu bidhaa na huduma zinazotolewa na benki ya NMB kutoka kwa Afisa wa NMB, Adamu Karazani (kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya wiki ya mlipa kodi yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Wengine kutoka kulia ni maofisa wa NMB Edith Mavura na Exvaria Mapunda.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages