NEWS ALERT:KONTENA LA FUTI LA 40 LENYE MENO YA TEMBO LAKAMATWA KISIWANI UNGUJA MCHANA WA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERT:KONTENA LA FUTI LA 40 LENYE MENO YA TEMBO LAKAMATWA KISIWANI UNGUJA MCHANA WA LEO


Kontena lenye urefu wa futi 40 lililojaa pembe za ndovu limekamatwa kisiwani Unguja mchana huu likitokea bandari ya Dar es Salaam.

Mpaka sasa haijajulikana mzigo huo una thamani ya kiasi gani na raia wawili wa Tanzania wamekamatwa kuisaidia polisi .

Kwa mujibu wa Waziri Kagasheki, kontena hilo pia linahisiwa kumilikiwa na raia wa China.

Tukio hilo limeshudiwa na Waziri wa nchi tawala za mikoa Zanzibar pamoja na Waziri wa maliasili na Utalii Balozi Hamisi Kagasheki.

Source: Eatv/ Radio  /JF

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages