MZIZIMA ROTARY CLUB YAMPA TUZO MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA KWA UTENDAJI ULIOTUKUKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MZIZIMA ROTARY CLUB YAMPA TUZO MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA KWA UTENDAJI ULIOTUKUKA

1aRais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi cheti maalum cha kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo ilipomkabidhi cheti na tuzo maalum katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam. 2aRais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi tuzo maalum ya kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo ilipomkabidhi cheti na tuzo maalum katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam. 3aKushoto ni Paul Mashauri na na wajumbe wengine wa Rotary Club wakimpigia makofi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando hayupo pichani mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo 4a Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando akitoa shukurani zake kwa Rais wa Rotary Club na wajumbe wake mara baada ya kukabidhiwa tuzio hiyo. kulia ni Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala. 5aMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando akizungumza jambo na Paul Mashauri Mwenyekiti wa East Africa Speakers Bureau (EASB) na katikati ni Meneja Huduma kwa Jamii wa NHC , Muungano Kasibi Saguya 6aMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo jana 7aMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Paul Mashauri Mwenyekiti wa East Africa Speakers Bureau (EASB) 8aBaadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyo 9aBaadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyo 10aBaadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyo 11aMeneja Huduma kwa Jamii wa NHC , Muungano Kasibi Saguya kushoto akiwa na
Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC wakiwa katika hafla hiyo jana
12aMzee Method Kashonda mmoja wa viongozi wa Mzizima Rotary Club akikaa kwenye kiti chake mara baada ya kusoma wasifu wa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba Bw. Nehemia Kyando Mchechu jana kabla ya kumkabidhi tuzo yake aliyokabidhiwa na taasisi hiyo kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam jana. PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages