Mdau Areman Kizuguto Mwanafunzi aiyehitimu Shahada ya Kwanza Ya Mahusiano ya Kimataifa ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akiwa na furaha kubwa hapo jana kabla ya Sherehe ya Mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma kuanza

Mdau Areman Akiwa na Shada la Maua Mara baada ya kuzawadiwa na Marafiki wakati wa Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaloyohitimishwa hapo jana
Mdau Areman Kizuguto akiwa katika Picha ya Pamoja na Wahitimu Wenzake wa Kozi mbalimbali hapo jana mara baada ya kutunukiwa Shahada zao katika mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa jana katika Viwanja vya Chimwaga








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)