MASWALI YA LADY JAY DEE KWENYE NYIMBO YA YAHAYA YAMGUSA HARD MARD NA KUAMUA KUYAJIBU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MASWALI YA LADY JAY DEE KWENYE NYIMBO YA YAHAYA YAMGUSA HARD MARD NA KUAMUA KUYAJIBU




Maswali ya Lady Jay Dee kwa Yahaya yamemgusa Hard Mard na kuamua kuyatolea majibu.Hardmard ameachia wimbo alioupa jina ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika u-Yahaya . Wimbo huo uliotumia mdundo uleule wa hit ya 'Yahaya', umetayarishwa katika studio za Over Classic jijini Mwanza ambapo ni ndipo yalipo maskani ya Hard Mad hivi sasa. Haijajulikana bado kama Hard Mad aliongea na Jide ama vipi, endelea kufuatilia hapa. 
Isikilize hapa 'Naishi Ghetto'

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages