MARKETERS NIGHT YAKUFUNGA MWAKA HAIJAWAHI KUTOKEA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MARKETERS NIGHT YAKUFUNGA MWAKA HAIJAWAHI KUTOKEA

 DSC_0002 Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akitoa neno kwa wageni waalikwa(hawapo pichani)katika usiku wa Wanamasoko uliofanyika mwishoni mwa wiki katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es  Salaam.

DSC_0056Baadhi ya wageni waliohudhuria Marketers Night Out DSC_0069Wageni waalikwa walipata nafasi kuonja na kufurahia bidhaa za Kampuni ya bia ya Serengeti, mmoja ya wageni akimiminiwa kinywaji cha Johnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti. DSC_0071Msemaji mkuu wa Marketers Night Steve Gannon ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti akitoa somo kwa wanamasoko waliohudhuria katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam.
DSC_0105Burudani bab kubwa ilikuwepo, wadau walikula bata na kubanjuka vya kutosha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages