MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA AFRO – ARAB NCHINI KUWAIT - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA AFRO – ARAB NCHINI KUWAIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa  sita mstari wa tatu nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali za  Afrika wakati alipohudhuria katika Mkutano wa mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab'  uliofanyika leo Nov 19, 2013 nchini Kuwait.
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, wakati wakiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano wa Tatu wa nchi za Kiarabu 'Afro Arab', uliofanyika nchini Kuwait, leo Nov 19,  2013. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages