MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA KUONDOA UMASKINI JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA KUONDOA UMASKINI JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. 
Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo. 
Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.PICHA NA OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages