Supersub: Daniel Sturridge alitokea benchi na kusawazisha bao na kuipa Liverpool sare ta 3-3 dhidi ya Everton
Wakiongoza: Philippe Coutinho alifunga bao la kuongoza
Dakika 10 nzuri: Coutinho aliipatia Liverpool bao la kuongoza ndani ya dakika tano dimba la t Goodison Park
Jembe la Brazil; Coutinho akishangilia na wachezaji wenzake
Mzee wa kazi: Kevin Mirallas akifunga bao la pili la kusawazisha
Baadhi
ya matokeo za mechi za leo ni haya yafuatayo, Asernal wapo uwanjani,
Chelsea baadaye wanashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu.
England: Premier League
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
MSHAMBULIAJI bab kubwa wa majogoo wa jiji, klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge ametokea benchi na kuwaokoa wekundu hao wa Anfield kwa kulazimisha sare ya mabao 3-3 leo hii dhidi ya Everton.
Nyota huyo raia wa hakuwa fiti kuanza katika mechi ya leo baada ya kucheza dakika 90 za mchezo wa kirafiki baina ya timu yake ya Taifa ya England dhidi ya Ujerumani katikati ya wiki, wakati huo huo akiwa na majeruhi ya mguu, lakini leo kaiokoa klabu yake na kichapo.
Kikosi cha EVERTON (4-3-3): Howard 8: Coleman 7, Jagielka 8, Distin 7, Baines 7 (Deulofeu 50mins 7): Barry 8, McCarthy 7, Pienaar 7: Barkley 8, Lukaku 9, Mirallas 8 (Osman 88).
Wafungaji: Miralles 8′, Lukaku 72′, 82′
Kikosi cha LIVERPOOL Leo: (4-1-3-2): Mignolet 8: Johnson 6, Skrtel 7, Agger 6, Flanagan 7: Lucas 8 (Sturridge 79mins): Gerrard 8, Allen 5 (Moses 67mins 6), Henderson 8; Coutinho 6: Suarez 7
Wafungaji: Coutinho 5′, Suarez 19′, Sturridge 89′
|
|
Finished
|
Everton
|
Liverpool
|
(1-2) |
|
|
|
Finished
|
Fulham
|
Swansea
|
(0-0) |
|
|
|
Finished
|
Stoke
|
Sunderland
|
(1-0) |
|
|
|
Finished
|
Newcastle United
|
Norwich
|
(2-0) |
|
|
|
Finished
|
Hull
|
Crystal Palace
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)