KINANA AWASILI MTWARA LEO ASUBUHI, YUPO NA DK. ASHA-ROSE MIGIRO NA NAPE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KINANA AWASILI MTWARA LEO ASUBUHI, YUPO NA DK. ASHA-ROSE MIGIRO NA NAPE




Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasilimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege mjini Mtwara asubuhi hii, tayari kwa safari ya kwenda katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya kuanza ziara yake ya siku 22 katika mikoa hiyo kesho. Kabla ya kuwasili katika mikoa hiyo, akiwa mkoani Mtwara leo atakutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayya Masasi........BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»





Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, wakisalimiana na viongozi wa CCM baada ya kuwasili na Kinana mjini Mtwara asubuhi hii.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali Joseph Simbakalia, Uwanja wa Ndege wa Mtwara
Kinana akiwa na viongozi wa mkoa wa Mtwara.

*NI MAANDALIZI YA KUANZA ZIARA YA SIKU 22 KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MBEYA


*LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MSASI. 




No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages