BREAKING NEWS:DR SENGODO MVUNGI AFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS:DR SENGODO MVUNGI AFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO

Taarifa zilizotufikia dawati letu la habari Muda huu kutoka kwa Mdau wetu Chrispine Selenga Nyagawa zinasema kuwa Dr Sengodo Mvungi amefariki dunia Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu mchana leo akiwa katika Hospitali ya Milpark iliyopo Afrika Kusini Alipopelekwa Kwaajili ya Matibabu zaidi Kutokana na Kujeruhiwa na watu wanaodhaniwa kuwa Ni Majambazi walipovamia nyumbani kwake.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.

Tutaendelea kuwajuza kadri taarifa zinavyotufikia na tunaendelea kufuatilia habari hii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages