Daladala yenye namba ya usajili T 798 ALV ikiwa imegonga pikipiki yenye namba ya usajili T 174 CAP na kusababisha mwanamke aliyekuwa amepanda bodaboda hiyo kuumia vibaya katika barabara ya kuingia kwenye Stendi ya Tabata Segerea.
Madereva wa bodaboda kwenye eneo la stendi ya Segerea wakiwa wamemzunguka Dereva wa daladala baada ya kumgonga mwenzao.
Huu ndio mwonekano wa daladala iliyogonga bodaboda
Baadhi ya wananchi wakiangalia ajali hiyo
Umati wa watu wakiangalia tukio hilo.Picha Kwa Hisani ya Pamoja Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)