Dokta, Stellah Mshana(kushoto) wa Chama cha Madaktari wa Magonjwa ya Ubongo Tanzania (MEHATA) wa Hospitali ya Korogwe Tanga, akizungumza na wafanyakazi wa BancABC walipotembela Hospitali hiyo kutoa msaada wakishirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya ya Ubongo Duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mkoani Tanga.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)