ANUSURIKA KUFA MARA BAADA YA KUPOKEA KICHAPO SABABU YA WIZI WA DEKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ANUSURIKA KUFA MARA BAADA YA KUPOKEA KICHAPO SABABU YA WIZI WA DEKI

Kibaka jina halikufahamika jana alipokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira huko Kigogo Sambusa, mto Msimbazi baada ya kusadikiwa ameiba deki.
Askari wa usalama barabaran akijaribu kuokoa maisha ya kijana huyo kwa kumpeleka kituo cha polisi lakini haikuwezekana kutokana na wananchi kuwa na hasira na kumzidi nguvu Askari huyo.
Kijana huyo akiwa amejificha chini ya mtaro kuokoa maisha yake.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukiom hilo...Picha na habari Kwa Hisani ya Sufiani Mafoto Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages