Pages

WAZIRI WA FEDHA DKT WILLIAM MGIMWA AWASILI WASHINGTON DC

Juu na chini ni Waziri wa fedha na Uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.  William Mgimwa akilakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula mara tu alipowasili leo Jumamosi Oktoba  5, 2013 kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia. Mhe. Mgimwa anaongoza ujumbe wa Tanzania kuhudhuria mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia inayoanza Jumatatu Oktoba 7,  hadi 12, 2013  jijini Washington, DC

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)