Pages

MDAU WA MAREKANI ANAMTAFUTA MTOTO WA MIAKA 8 ALIYEOGELEA NA KITOTO KICHANGA KWENYE AJALI YA BOTI ZIWA TANGANYIKA



Mimi ni Ndugu Mtenga kutoka Tanzania na kwa sasa nafanya kazi Portland Oregon USA. Langu ni ombi la habari kuhusu msichana wa miaka 8 aliyeogelea na kitoto kichanga mgongoni kutoka kwenye ajali ya mashua( Boat) iliyozama ziwani Tanganyika.

Naomba kama una hiyo habari utakuwa umenisaidia sana maana nataka kutafuta njia yakumzawadisha huyo mtoto.  Email yangu ni kama itakavyojitokeza bali pia nivizuri nikaiandika hapa djmtenga@yahoo.com.
Nawatakia kila la heri nikiwa  na matumaini kwamba nitapata msaada ninaotarajia.

Mdau Mtenga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)