WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA VYAMA VYA UKOMBOZI WAAZA KUWASILI JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA VYAMA VYA UKOMBOZI WAAZA KUWASILI JIJINI DAR

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. Katikati ni Balozi wa China hapa nchini, Lu Youqing.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose
Migiro, akiwa na mgeni wakei Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti  cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili  ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose
Migiro, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti  cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili  ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika.
 "PANDA GARI HILI" Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose  Migiro, akimwelekeza  kupanda gari Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti  cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili  ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages