USIPOKUWA MAKINI KATIKA UENDESHAJI WA MAGARI HASWA MAENEO YA MJINI BASI HILI LITAKUWA LINAKUHUSU KILA MARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

USIPOKUWA MAKINI KATIKA UENDESHAJI WA MAGARI HASWA MAENEO YA MJINI BASI HILI LITAKUWA LINAKUHUSU KILA MARA

IMG_20131018_131511_0
 Askari wa Usalama barabarani akichukua maelezo kutoka kwa dereva wa daladala na dereva wa gari dogo mara baada ya kusababisha ajali iliyotokea mchana wa leo katika barabara ya Azikiwe jijini dar mara baada ya gari ya kubeba abiria almaarufu kama daladala inayofanya kazi yake kati ya Buguruni - kivukoni kukwanguliwa na gari dogo iliyokuwa ikiendeshwa na Mtu mmoja wa Makamu tu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja
IMG_20131018_131539_0
 Kosa la nani hapo hiyo ni kazi ya Askari wa Usalama Barabarani maana yeye ndie muhusika wa kusimamia sheria za barabarani..
IMG_20131018_131611_0
 Hapa mzee (mwenye kofia kichwani) akirudi katika kwena gari lake mara baada ya kuamriwa na askari wa usalama barabarani 
IMG_20131018_131619_0
Askari wa usalama barabarani akiendelea kufanya kazi yake ipasavyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages