TBS yazungumzi mfumo wa Udhibiti wa ubora wa bidhaa za nje - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBS yazungumzi mfumo wa Udhibiti wa ubora wa bidhaa za nje

IMG_5752Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa ufafanuzi kuhusu ufunguaji wa Ofisi za Shirika hilo katika maeneo ya mipakani ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa zilizo chini ya kiwango, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya habari(MAELEZO) leo Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.
IMG_5774Afisa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania(TBS) Bw. David Ndibalema(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mfumo wa Udhibiti wa ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kabla ya kusafirishwa (PVoC) utakaosaidia kuondoa tatizo la bidhaa hafifu, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya habari(MAELEZO) leo Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi. Roida Andusamile.Picha na Hassan Silayo-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages