Rais Jakaya Kikwete na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la
Morogoro Onesphory Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa
Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, wakiweka jiwe la msingi katika
kiwanja kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya
ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za
Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo
la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kamati ya walei ya
Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27,
2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 ya Parokia hiyo.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo
la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto
wa shule ya Jumapili katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka
100 Parokia hiyo.Rais
Jakaya Kikwete akihutubia katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za
Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya
Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa
sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa
Parokia hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Masista wa Parokia ya Lugoba Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmed Kipozi. Rais Jakaya Kikwete akiwaonyesha jambo maaskofu wakati wa jumilee ya miaka 100 ya kanisa katoliki parokia ya Lugoba leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki
wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Tanga Anthony Banz na viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa
inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati
ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)