Pages

PROF STAINER AZUNGUMZA NA RAIS SHEIN WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Norway, baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)