Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa NMB Bi. Vicky Bishubo, akipokea tuzo ya ushindi wa pili kwenye uwakilishaji wa michango ya wafanyakazi kwa wakati kwenye taasisi za kifedha kutoka PPF iliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Dr. William Mgimwa (pili kushoto), wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na benki ya NMB, jijini Arusha.
Baadhi ya wanachama wa PPF wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na benki ya NMB.
Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa NMB Bi. Vicky Bishubo pamoja na Meneja Mahusiano kutoka Kitengo ya Serikali cha NMB Bw. Elieza Msuya (kulia) na Meneja Mahusiano wa NMB huhuma za benki kitengo cha taasisi Bw. Sepi Mawalla akizungumza na mwanachama wa PPF wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na benki ya NMB, jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)