Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akimkaribisha Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti cha China Ai Ping ambaye amewasili nchi kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Ukombozi Afrika utakaofanyika tarehe 9 Oktoba 2013 Kunduchi mjini Dar es salaam.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akizungumza na Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti Ai Ping mara tu alipowasili nchini kwa kuhudhuria mkutano wa sita wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)