Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete wakati akifunga mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, usiku wa kuamkia leo Oktoba 25, 2013 katika ukumbi wa mikutano wa CCM wa ‘White House’ mjini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana. PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)