Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akimpongeza kijana huyo kwa uzalendo.
Kijana Japhet wakati akipokelewa mkoani Iringa.
Safari ya kijana Japhet ilianzia mkoani
Mwanza na sasa amefunga mikoa nane kwa kumalizia mkoa wa Morogoro na
malengo yake ni kutembea nchi nzima hadi ifikapomwaka 2015 awe
amefikisha ujumbe wa amani nchi nzima. (PICHA NA FRANCIS GODWIN, IRINGA)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)