Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Charles Pallangyo akizindua mpango mkakati wa pili wa bohari ya dawa MSD unao tarajiwa kuanza julai 2014 hadi juni 2020 wenye lengo la kuongeza ubora kiutendaji katika uzinduzi uliofanyika kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam jana.
Kamimu Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa (MSD) Bw. Cosmas Mwaifwani akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wadau waliohudhuria katika uzinduzi huo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Charles Pallangyo akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya TAMISEMI Bw Deo Mtasiwa mara baada ya kuzindua mpango huo jana katikati ni Kamimu Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa (MSD) Bw. Cosmas Mwaifwani. BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)