JUST IN:Ajali mbaya imetokea eneo la Migela Mjini Bukoba, watu wahofiwa kupoteza maisha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JUST IN:Ajali mbaya imetokea eneo la Migela Mjini Bukoba, watu wahofiwa kupoteza maisha

Ajali mbaya imetokea muda mfupi kidogo uliopita Mjini Bukoba katika eneo la Migela na kupelekea lori lililokuwa limebeba Shehena ya Unga kupinduka na kupelekea kuhisiwa watu kupoteza maisha kutokana na zoezi la uokoaji kuwa ni la kusuasua.Picha kwa hisani ya Mc Baraka Galiatano

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages