JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA AWAAPISHWA WASAJILI WAPYA WATANO WA MAHAKAMA MAPEMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA AWAAPISHWA WASAJILI WAPYA WATANO WA MAHAKAMA MAPEMA LEO


Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu akimuapisha, Mhe. Dustan Ndunguru kuwa Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, kabla ya uteuzi wake Mhe. Ndunguru alikuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Mkoa Lindi.

Jaji Kiongozi Mhe. Fakih Jundu akimuapisha Mhe. William Mutaki kuwa Naibu Msajili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kabla ya uteuzi wake Mhe. Mutaki alikuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Jiji.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu akimpongeza Mhe. Francis Kabwe kwa shada la maua, Mhe. Jaji Kiongozi ameaapisha jumla ya Wahe. Watano walioteuliwa kuwa Wasajili katika ngazi za mbalimbali za Mahakama. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages