HIKI NDIO KISIMA CHA KISIMA CHA AJABU MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HIKI NDIO KISIMA CHA KISIMA CHA AJABU MKOANI DODOMA

KISIMANI 1 f3a53
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka  kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika  kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] 
MAJI 1 fb354
Baadhi ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi  kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya  kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
MAJI 2 f8953
Mkuu wa  kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa  kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima  hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata  Mafanikio ya kiafya na kimaisha: PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages