HELLEN NDILE AMEREMETA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HELLEN NDILE AMEREMETA

 Mama Mzazi wa Helena Ndile akizungumza machache kwa mwanae ambayo yatamsaidia kwenye maisha ya ndoa.
 Msanii wa kufanya vichekesho MC Pilipili akichekesha wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za Kitchen za Bi. Helena Ndile.
 Wageni waliohudhuria sherehe hiyo ya Kitchen Party wakiwa hawana mbavu kutokana na vichekesho vya MC Pilipili.
 Mama na Mwana wakilisakata rhumba 
 Helena Ndile akikabidhi keki kwa mawifi zake.
 Wa Mama wa kikundi cha Upendo kilichopo Lumumba ofisi ndogo za CCM wakipeleka zawadi zao kwa mdogo wao Helena Ndile.
 Helena Ndile akiwa kwenye picha ya pamoja na mawifi zake
Helena Ndile akipata maelezo ya zawadi mbali kutoka kwa dada yake Edna Ndile,sherehe hii ya kitchen party imefanyika  tarehe 6 Oktoba2013 kwenye ukumbi wa Lulu Social Hall.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages