WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPITIA TAASISI YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) YAENDESHA KAMPENI YA UTUMIAJI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHI KATIKA VITENGO VYA AKINA MAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI ZA WILAYA YA TEMEKE, KINONDONI NA ILALA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPITIA TAASISI YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) YAENDESHA KAMPENI YA UTUMIAJI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHI KATIKA VITENGO VYA AKINA MAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI ZA WILAYA YA TEMEKE, KINONDONI NA ILALA.

Muhamasishaji wa utumiaji wa Vyakula vilivyoongezwa Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid Abraaham akitoa elimu ya kwa Wauguzi mbalimbali kutoka katika Wilaya ya Kinondoni na Ilala wakati wa semina ya cha mama na mtoto iliyofanyika katika Hosptali ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kampeni hiyo inaendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzani (TFDA)na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) katika Hospitali za Manispaa za Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke. ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vyenye nembo ya Virutubishi.
Muhamasishaji wa utumiaji wa Vyakula vilivyoongezwa Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid Abraaham akitoa elimu kwa kitengo cha mama na mtoto katika Hosptali ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam, Kampeni hiyo inaendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzani (TFDA)na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) katika Hospitali za Manispaa za Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke. ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vyenye nembo ya Virutubishi
Baadhi ya akina mama wajawazito katika hospitali ya Buguruni jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makinini muhamasishaji wa utumiaji wa vyakula vilivyoweongezwa Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid Abraham .Kampeni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwa ushirikiano wa Taasisi ya Chakula na Dawa(TFDA) na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) katika Hospitali za Manispaa za Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke. ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vyenye nembo ya Virutubishi
Baada ya Kampeni ya kuhamasisha ulaji wa vyakula vilivyoongezwa Virutubishi katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga na Pwani , sasa zoezi hilo limehamia jijini Dar es Salaam katika Hospitali za Wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke kwa ajiri ya kitengo cha Mama na mtoto.Kampeni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwa ushirikiano wa Taasisi ya Chakula na Dawa(TFDA) na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) ikiwa ni kutimiza wito wa kuelimisha umma ,Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages