Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini
wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano
lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga , Septemba 26, 2013. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sketi iliyoshonwa kwa mtindo wa vazi la
asili la watu wa Hanang wakati alipotembelea banda la Wilaya hiyo
katika maonyesho yaliyoambatana na Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya
Kaskazini lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Mkonge Mjini
Tanga Septemba 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mku,
Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary Nagu,
Wapili Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa na wapili kulia ni
Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)