Mhe. Membe akizungumza na Mhe. Hoxhai. |
Ujumbe wa Tanzania uliofuatana na Mhe. Membe wakati wa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kosovo. Kulia ni Grayson Ishengoma, Afisa Mambo ya Nje, Bi. Tully Mwaipopo, Afisa katika Ubalozi wa Tanzania, New York na Bw. Togolani Mavura, Msaidizi wa Waziri. |
Mhe. Hoxhaj akizungumza na Mhe. mhe. Membe ambapo aliishukuru Tanzania kwa kuitambua nchi yake na kuomba ushirikiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili uimarishwe. |
Mazungumzo yakiendelea. Picha na Rosemary Malale |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)