Raia
wa Malawi wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya
Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu
zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam.
Mamia ya wakazi hao walimiminia katika ofisi hizo leo kujiorodhesha
ikiwa ni agizo la Rais Jakaya Kikwete.
Akina mama na watoto wakisubiri kujiorodhesha.
Ofisa wa Uhamiaji akiwaelekeza jambo Raia wa Malawi.Credits: Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)