TAARIFA YA MSIBA WA MAREHEMU LILIAN NABURI - TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAARIFA YA MSIBA WA MAREHEMU LILIAN NABURI - TANGA

R.I.P LILIAN NABURI
Bwana Ametoa na bwana ametwaa jinalake libarikiwe
    Tuungane jumatatu kumsindikiza mpendwa wetu
Marehemu Lilian Naburi
 
Familia ya Mzee Geofrey Naburi wa Nguvumali Tanga inatangaza kifo cha Binti yao Mpendwa Lilian Naburi kilichotokea Arusha Jumatano ya tarehe 18/09/2013. Mazishi yanategemewa kufanyika Jijini Tanga siku ya Jumatatu ya tarehe 23/09/2013 katika makaburi ya Bombo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na kaka wa marehemu
Ndugu Ben Naburi kwa namba ya simu +255 713 563003
Blog hii inaungana na familia katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages