Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC


IMG_4299
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.
IMG_4310
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages