Afisawa
Benki ya NMB Curthbert Zimbwe akiwaelezea Wajasiriamali jinsi ya
kupata mikopo midogo midogo kutoka NMB. Wajasiriamali wanahudhuria
mafunzo mbalimbali ya siku tatu Kwenye viwanja vya Mnazi mmoja kutoka
kwa wadau tofauti NMB ikiwa miongoni mwa wadau na wafadhili wakubwa
wamafunzo hayo. Afisa
wa Benki ya NMB Abdul Kandoro akiwaonesha wajasiriamali kadi ya Benki
ambayo mteja anaipata papo hapo kwa kufungua akaunti ya Chap Chap.
Wajasiriamali wanaohudhuria mafunzo mbalimbali kutoka kwa wadau tofauti
NMB ikiwa miongoni mwa wadau na wafadhili wakubwa wa mafunzo hayo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)