Mkuu
wa Gereza Kilosa, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) John Itambu
akifafanua jambo kwa mmoja wa Maafisa habari wa Jeshi la Magereza,
Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja (kulia) walipotembelea mradi huo
hivi karibuni. Mwonekano
wa mfereji wa maji yanayotumika kumwagilia shamba la mpunga katika
mradi huo. Mfereji huo hutumika kumwagilia mashamba ya Magereza pamoja
na wanakijiji wanaozunguka eneo hilo na chanzo chake ni kutoka mto Wami
Mkoani Morogoro. Sehemu
ya shamba la mradi wa uzalishaji wa Mbegu bora za Mpunga ambazo
husambazwa kwa wakulima kupitia kwa Wakala wa Mbegu nchini (ASA).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)