MHE. UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI KISARAWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MHE. UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI KISARAWE



Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akipata maelezo ya namna vyakula mbalimbali vinavyosindikwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Upendo Development Bibi.Lydia Jacob alipokitembelea kikundi hicho.
Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akipokelewa na Kikundi cha Vicoba cha Kinana cha Tupendane alipowatembelea kuona namna kikundi hicho kinavyoshiriki katika shughuli za kujiinua Kiuchumi
Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Mhe.Ummy Mwalimu akisalimiana na Wanafunzi wanaosoma Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kisarawe alipowatembelea Chuoni hapo,Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Isaya Mwambogela.


Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu Naibu Waziri,MKuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Fatma Kimario na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mtoto Wilayani hapo wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages