Dakika ya sabini ya Mchezo Wayne Rooney inaipatia Man U goli la tatu na kupelekea Man united kuwa Mbele kwa Magoli 2 dhidi ya Bayern Leverkusen.
Rooney akiwa mchezaji aliyefunga magoli mawili katika Mchezo huu ambao umebakiza dakika Chache kumalizika.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)