Dakika
ya 79 ya Mchezo Luis Antonio Valencia anaipatia Man U goli la 4 na
kupelekea Man united kuwa Mbele kwa Magoli 3 dhidi ya Bayern
Leverkusen yenye Goli 1 mpaka sasa dakika ya 87
Valencia ameweza kutumia nafasi yake vizuri na kuhakikisha haipotezi zikiwa zimebaki dakika takriba 3 kumalizika kwa MChezo Man U wapo mbele kwa magoli 3 dhidi ya Leverkusen yenye goli 1
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)