Mama
mmoja wa kinigeria amekamatwa na madawa ya kulevya mchana huu
katika uwanja wa ndege wa JNIA akijaribu "kum-bypass " Dr.Mwakyembe.
Mwana mama huyo aliyetambuliwa kwa jina la Ojo Athnonie alikuwa amevaa bai bui kwa juu na kufunika sura yake yote.....
Taarifa zinaarifu kwamba mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko chini ya ulinzi mkali wa polisi .....
Kwa mujibu wa StarTV, mwanamke huyo anadaiwa kutumia ubunifu wa ziada kwa kanunua powder za johnson kubwa na kuzikata kwa juu na kisha kuweka kete 99 ambazo zote zimenaswa..SOURCE:NDGSHILLATU BLOG

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)