BODI YA UTALII (TTB) NA SHIRIKA LA (AFF) LA KOREA ZATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BODI YA UTALII (TTB) NA SHIRIKA LA (AFF) LA KOREA ZATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

1Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk Aloyce Nzuki akizungumza na waandishi wa habari wakati hafla ya kutiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya Utalii kati TTB na Shirika la Africa Future Forum la Korea Kusini kwenye hafla iliyofanyika hoteli ya New Africa leo , kushoto ni Chris Chae Katibu Mkuu wa Africa Future Forum ukanda wa Afrika na katikati ni Heunsu Kim Mkurugenzi wa Africa Future Forum. 2George Chizenga Mkurugenzi wa Africa Future Forum Tanzania akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano huo wa kutiliana saini Kutoka kushoto ni Chris Chae Katibu Mkuu wa Africa Future Forum ukanda wa Afrika , Heunsu Kim Mkurugenzi wa Africa Future Forum Ukanda wa Africa na Dk. Aloyce Nzuki Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB. 3Chris Chae Katibu Mkuu wa Africa Future Forum ukanda wa Afrika na Dk. Aloyce Nzuki Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB kulia ni George Chivenga Mkurugenzi wa Africa Future Forum Tanzania  na kushoto ni Heunsu Kim Mkurugenzi wa Africa Future Forum Ukanda wa Africa  na maofisa wengine wa TTB na Shirika la AFF wakishuhudia. 4Chris Chae Katibu Mkuu wa Africa Future Forum ukanda wa Afrika na Dk. Aloyce Nzuki Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB wakibadilishana hati za mikataba baada ya kuisaini. 5Heunsu Kim Mkurugenzi wa Africa Future Forum Ukanda wa Africana Dk. Aloyce Nzuki Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB wakipongezana baada ya kusaini hati za mkataba huo. 6Heunsu Kim Mkurugenzi wa Africa Future Forum Ukanda wa Africa akishukuru baada ya kusainiwa kwa mikataba hiyo 7Dk. Aloyce Nzuki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. 8Maofisa wa Bodi ya utalii TTB wakiwa katika hafla hiyo 9Baadhi ya maofisa wa shirika la Africa Future Forum wakiwa katika hafla hiyo. 10Maofisa wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Deo kulia ni Mzee Kopwe wakiwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages