ADAMU NGANGE AMTWANGA KWA K,O ISSA MATUMLA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ADAMU NGANGE AMTWANGA KWA K,O ISSA MATUMLA

Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo Fresh Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya pili 

Bondia Adamu Ngange kwenye uringo akikaa pembeni baada ya kumwangusha chini Issa Matumla pembeni
Refarii Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange
Bondia Antony Mathias kulia akimpiga ngumi mfululizo bondia Ismail Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa kilimahewa chanika Kigogo Mathias alishinda kwa K,O Fresh Dar es salaam picha na www.superdboxingcopach.blogspot.com
Bondia Antony Mathias AKIWA AMEBEBWA JUU JUU BAADA YA KUPATA USHINDI KWA k,O
MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI HALIMA KAUBANIKA AKIFUATILIA MPAMBANO HUO.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages