UZINDUZI WA FILAMU YA LULU UNAENDELEA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY MIDA HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

UZINDUZI WA FILAMU YA LULU UNAENDELEA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY MIDA HII

1
Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi wa filamu yake inayokwenda kwa jina la Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla, Uzinduzi huo unafanyika usiku huu. 1aLulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa kazi hiyo. 2.Mwenyekiti wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza katikati akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake 3Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo 4Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo 5Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages