TIKETI ZA LULU ZABAKI CHACHE WAHI SASA NA ZITAUZWA MLANGONI KWA GHARAMA YA SHILINGI ELFU 30 TU.WAHI SASA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TIKETI ZA LULU ZABAKI CHACHE WAHI SASA NA ZITAUZWA MLANGONI KWA GHARAMA YA SHILINGI ELFU 30 TU.WAHI SASA

Tiketi za uzinduzi wa LULU Bado zinapatikana na Zitauzwa Mlangoni Kwa Gharama za shilingi Elfu 30 tu.

UZINDUZI UNAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY KUANZIA SAA MOJA JIONI.

usikose wahi sasa na tiketi ni chache.Njoo Uone mapinduzi ya kweli kwenye tasnia ya filamu.Mzigo mzma unasimamiwa na Proin Promotions Limited.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages