TIGO YAKABIDHI BAJAJI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA MILIKI BIASHARA YAKO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TIGO YAKABIDHI BAJAJI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA MILIKI BIASHARA YAKO

001
 Bi Mariamu Bula mmoja ya washindi wa Bajaji wiki ya Nne ya kupitia Promosheni ya Miliki biashara yako na  Tigo akionyesha  funguo yake baada ya kukabidhiwa katika Viwanja vya Manzese Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Uzalishaji wa kampuni hiyo Suleiman Mushagama
002
 Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi,  akimkabidhi funguo mmoja ya washindi wa droo ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo Beatrice Gelvas Mkembo  wakati wa hafla iliyofanyika Manzese  Jijini Dar es Salaam
003
 Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi akimkabidhi funguo mmoja ya washindi wa droo ya Nne ya ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo, Amiri Hamis Chiumbo  wakati wa hafla iliyofanyika Manzese  Jijini Dar es Salaam.
004
 Bi Jamila Habib Daudi  mmoja ya washindi wa  Bajaji wa wiki ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo akijaribu kuendesha  Bajaji yake mara baada ya kukabidhiwa katika Viwanja Manzese Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Uzalishaji wa Kampuni hiyo, Suleiman Mushagama.
005
 Bw Salimu Ramadhani Malya akikagua Bajaji yake mara baada ya kukabidhiwa baada ya kuibuka mmoja ya washindi wa  wiki ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo katika Viwanja vya Manzese Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Uzalishaji wa Kampuni hiyo, Suleiman Mushagama.
006
 Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi akimkabidhi funguo mmoja ya washindi wa  wiki ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo, Edd Omary Linema wakati wa hafla iliyofanyika Manzese  Jijini Dar es Salaam.
A
 Meneja Uzalishaji wa Kampuni ya Tigo Suleiman Mushagama akizungumza na Waandishi wa habari  wakati wa hafla ya kukabidhi Bajaji kwa washindi wa  wiki ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo iliyofanyika Manzese Jijini Dar es Salaam.
AA
Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi akimtazama  mmoja ya washindi wa  wiki ya Nne ya Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo, Amiri Hamis Chiumbo wakati akikagua Bajaji yake kabla ya kuondoka nayo wakati wa hafla ya kukabidhiwa iliyofanyika Manzese  Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages