Tigo yakabidhi Bajaji kwa washindi 7 wa droo ya tatu ya 'Miliki Biashara Yako' - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tigo yakabidhi Bajaji kwa washindi 7 wa droo ya tatu ya 'Miliki Biashara Yako'

Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
Washindi wa  droo ya tatu ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ wakipozi mbele ya Bajaji zao walizokabidhiwa na kampuni ya simu ya Tigo katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam
 Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Sande Juma (kushoto) akipokea ufunguo wake wa Bajaji kwa furaha kutoka kwa Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
Washindi  wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ (kutoka kushoto) Bw. Sande Juma, Tito Mkude  na Iddi Zonki wakikagua Bajaji walizokabidhiwa kutoka kwa kampuni hiyo ya simu katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
 Washindi wa promosheni ya Tigo 'Miliki Biashara Yako' wakijaribu kwa furaha moja ya Bajaji zilizokabidhiwa na kampuni ya simu ya Tigo katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
Meneja Chapa wa Tigo, Bw. William Mpinga akihojiwa na Waandishi wa Habari katika hafla ya makabidhiano ya washindi wa promosheni 'Miliki Biashara Yako' iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages