Mshindi wa droo ya tano wa
promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara
Yako’ Bw. Furaha Kitigi akishuka kutoka kukagua Bajaji aliyokabidhiwa na
Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia)
katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa
promosheni yaTigo ‘Miliki Biashara
Yako’ Bw. Furaha Kitigi akipungia kutoka kwenye Bajaji yake mpya kabisa
mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw.
Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar
es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw.
Husni Seif (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tano
wa promosheni ya Tigo ‘Miliki
Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon katika hafla iliyofanyika Tandika
sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness
Simon akionyeshea ufunguo wake wa Bajaji mpya yenye thamani ya Tsh 6,700,000
aliyokabidhiwa katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam. Akishuhudia
ni Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)