Taswira:Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda Apandishwa tena Kizimbani Mjini Morogoro,ambapo alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani Morogoro baada ya ofisi kadhaa ikiwamo ya Mkuu wa Wilaya na baadhi ya mitaa kufungwa ili kupisha kusikilizwa kwa kesi inayomkabili katika Mahakama ya Mkoa wa Morogoro. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira:Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda Apandishwa tena Kizimbani Mjini Morogoro,ambapo alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani Morogoro baada ya ofisi kadhaa ikiwamo ya Mkuu wa Wilaya na baadhi ya mitaa kufungwa ili kupisha kusikilizwa kwa kesi inayomkabili katika Mahakama ya Mkoa wa Morogoro.

Sheikhe Ponda Issa Ponda akiwa chini ya ulinzi wa askari magereza wakati akielekea katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kusikiliza kesi yake inayomkabili. Picha na Juma Mtanda 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages